search and contact wbusa

blg security

Aug 17, 2011

A.Y ft Miss Trinity - Good Look (LYRICS)Intro:
Yeah.. toka B.Hits… Yesssssayaaaah AY,Miss Trinity ,Inna mi yard
Hill Bam,u know..bad gal akikutana na rude bway…
Huwa ni fire….
thats a good look…


Verse 1: AY
Chill,chill mi nikupe / Mambo ambayo oh yananifanya we univutie
Mpaka kuwa nawe hainifanyi mi nijute / Ndio kwanza kila siku natamani mi nikupe
STOP!!!!
Check anavyotupia / Msafi kama pesa mpya jinsi anavyonukia
#Nampenda sana jinsi alivyo#
Ila kila napomuona points zote zinakimbia
#akitaka apakatwe#
Kila nikimuona nimpe mate / Tena uzuri zaidi si kicheche
Ndio maana amenivutia kati ya wote
Kusema kweli she’s HOT!
Kwanza ana nidhamu / sexy kama J.Alba napata hamu
Body imenibamba masham sham / inanivutia unavyotingisha tingisha tingisha…


Chorus:
Ms Trinity- Rude boi watchin my wine.. (THAT’S GOOD LOOK)
Di house not paid on time.. (THAT’S GOOD LOOK)
Di money in di bank,das mine.. (THAT’S GOOD LOOK)
Work hard and still look fly…
AY- Black Converse,Jeans,white tshirt.. (THAT’S GOOD LOOK)
No fancy cars I gat money in de bank.. (THAT’S GOOD LOOK)
No bling I don wanna floss,am real.. (THAT’S GOOD LOOK)
Naishi kawaida…na bado napiga bao…


Verse 2: Ms. Trinity
Dappa dappa swagga / you don’t know rude boi di real dun dada
From di bottom to di top of di ladda
No floss,no bling das how him pockets get fatta
Rubba dub dabba cook food him belly stay happy
Chap chap / when him need di good lovin
Pop pop
Make di booty pop….pop….pop……
(Oooh ooohh…..that’s good look x 6)


Repeat Chorus


Bridge :
Oooh…when rude boi meet rude gal,rude love come true
Oooh… we don’t need car,bling,gat shoes rude love come true


Tingisha,tingisha,tingisha…….


Repeat Chorus


AY Featuring Miss Trinity
Good Look Produced by Hermy B
B.Hits Music Group

ACTION : CPWAA ft MS.Triniti,Dully Sykes and Mangwea - LyricsACTION : CPWAA ft MS.Triniti,Dully Sykes and Mangwea

INTRO
A, A,Action tonight
A,A,Action tonight
Brainstormusic baby, show time,show time,show time,
A,A,Action tonight,
A,A,Action tonight,
Pwaa is in the building!


Verse 1 : Cpwaa
Whats up, whats up, Pwaa is in the building, get up get up!
Whats going on yo! Yeah we on yo,
Hit me on my BBM we uptown yo! Ok!
Tired of the daily scenes, tired of the drama queens,
Let’s get dirty if you know what I mean, Lets hit the party,
I wanna rock this body, wanna smack somebody!
Take it to the left, take it to the right,
Give it to me, give it to me baby all night,
Drop it down, take it to the top, back it up back it up, baby don’t stop,
Once it pops, that’s a wrap.
We don’t run this town; we make it spin 360,
We so fresh and so crispy, yeah she is looking at me she miss me,
Ooh no she wanna kiss me, she tipsy,
Camera down, lights off then…..action


Chorus:
Give me some “Action”
Show me some “Action”
I need to see some “Action”
Ooh na na na naaa Action yeaaaaahhhh, oaaahhh oaaaah Pwaa is in the building
Give me some “Action”
Show me some “Action”
I need to see some “Action”
Ooh na na na naaa Action yeaaaaahhhh, oaaahhh oaaaah


Verse 2: Ms Triniti
Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle ACTION TONIGHT!
Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle ACTION TONIGHT!
I need your action, skin to skin connection,
Put your arms around my body, ready for your flexion,
My Yute you a star
You a light it up from a far,
Easy na easy na Rasta,
Uno know you raise di bar,luv uno like cooked food pasta,
And Yah,when you are ready,Rated R,
Da Re mi fa so la, you a take it from the la,
Uno fly high like Kilimanjaro,
Keep on lovin me na star,
Mi wha fi thank your ma and your pa,
Chap chap lova lova, chap chap lova lova!


CHORUS 2
Verse 3: Dully Sykes
Me I burn dem,
paparazzi wananisaka kama lulu kwenye paper 400 waniuze,
Me I burn dem,
Kina dada wananipenda nashukuru mpaka mama anawaomba wapunguze,
Me I burn dem,
paparazzi wananisaka kama lulu kwenye paper 400 waniuze,
Me I burn dem,
Kina dada wananipenda nashukuru mpaka mama anawaomba wapunguze,
Swaga za dada zangu watu wanaleta fitina,ngoma utaminya wewe sisi itapigwa na titina,
Swaga za dada zangu watu wanaleta fitina,ngoma utaminya wewe sisi itapigwa na titina,
Hey hey Rey Rey give me some action,
Beat ya Marco na Mj bonge ya production,
Hey hey Rey Rey give me some action,
Beat ya Marco na Mj bonge ya production,
Hey hey Rey Rey give me some action,
Beat ya Marco na Mj bonge ya production,


CHORUS 3
Bridge Ms Triniti
Wind low, wind low,wind ooh ooh oooh oh,
Wind slow, wind slow,wind ooh ooh oooh oh,
Wind low, wind low,wind ooh ooh oooh oh, ooh ooh oooh oh, ooh ooh oooh oh,
Action…..oooooh ooooooooh
Action…..ooooooh oooooooooh
Action…..oooooooh oooooooooh
Action…..ooooooooh oooooooooh


Bridge: Mangwea
Pour me my liquor, lit me more fire Mr DJ keep on spinning set the roof on fire!
Pour me my liquor, lit me more fire Mr DJ keep on spinning set the roof on fire!


CHORUS 4
Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle ACTION TONIGHT!
Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle, Gimme likkle, gimme likkle ACTION TONIGHT!


Outro: Ngwear
Give some, ACTION
Show me, ACTION
Give some, ACTION
Cause I need some, ACTION YEAAAAH
Yeah ha ha haaa holaaaaa!

LINAH MCHOKOZI!!!


D&&WS


MS. REHEMA


MISS TMK


MTOTO HUYU!!!


Aug 13, 2011

NGOMA DROOOOOO!!!

 Penzi linalomilikiwa na mastaa wawili Bongo, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’ (21) na shugamami wake Wema Isaac Sepetu ‘limefumuliwa’, ikidaiwa eti, limekutanisha watu ambao wanalingana kwa idadi ya wapenzi ‘waliopita’ nao, Ripoti ya Risasi Jumamosi imekamilika, shuka nayo.
Gazeti hili limeelezwa na vyanzo vyake kuwa, kabla ya kukutana, kila mmoja alikwishatajwa kwenye dhambi ya uzinzi na wapenzi wanaofikia wanne hivyo ngoma kuwa droo.
 Kwa sasa kila mmoja kwenye listi ya wapenzi ‘aliokatiza’ nao, anamiliki majina matano.
WATANO WA WEMA NI HAWAKwa kinywa chake, Wema anakiri kutoka kimapenzi na wanaume kadhaa huku akiomba chondechonde: “Jamani TID (staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed) na Blu (Herry Samir, naye msanii wa Bongo Fleva) naomba muwatoe kabisa kwani hawakufaidi penzi langu.”Kwa kauli hiyo, ukiwaondoa TID na Blu ambao nao aliwahi kudaiwa kutoka nao, listi inayobaki ambayo ilithibitishwa na Wema mwenyewe ni kama ifuatavyo
 KANUMBA
Steven Charles Kanumba, akitumia cheo chake cha uigizaji na udairekta katika tasnia ya filamu za Kibongo, mwaka 2008 alifanikiwa kumshawishi mlimbwende huyo kuingia kwenye uigizaji na baadaye wakazama katika ‘malavidavi’ kabla ya kumwagana kwa skendo huku Kanumba akimburuta Wema mahakamani kwa kuvunja kioo cha gari lake.
 JUMBE
Mjasiriamali Jumbe Yusuf Jumbe alifanikiwa kuonja penzi la Wema mwaka 2009 na kama ilivyokuwa kwa Kanumba, naye alimwagana na mnyange huyo kwa kashfa na maneno ya shombo kedekede.HARTMANNMara baada ya kuchomoka mikononi mwa Jumbe, mwaka huo huo wa 2009, Wema alidaiwa kuangukia kwa ‘the big boss’ wa Hartmann Production, Hartmann Othmun Mbilinyi lakini baadaye alijiweka pembeni kuepuka msongamano na safari ya mapenzi ikaendelea.CHALZ BABASiku chache kabla ya kutimkia nchini Marekani mwaka 2010, Wema alitangaza kuolewa na mwanamuziki wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta, Charles Gabriel Mbwana ‘Chalz Baba’ baada ya kukolezwa na ‘malavu’. Akaondoka nchini, aliporejea, alikuwa amekwishabadili upepo na moyo wake ulishamdondokea mtu mwingine hivyo wakatengana kwa maneno ya hapa na pale.DIAMONDWakati Diamond akiwa juu kimuziki mwaka 2010, ghafla zikavuja habari kuwa yeye na Wema huwa wanachati kwa muda mrefu kwenye Mtandao wa Facebook, baadaye wakasimama mbele ya kamera ya gazeti ndugu na hili, Risasi na kuanika mapenzi yao.WATANO WA DIAMOND NI HAWAKabla ya kukutana na Wema, Diamond aliwahi kuripotiwa akidaiwa kupeana ‘kampani’ na warembo wafuatao
 REHEMA
Akiwa amepata jina kupitia Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video Queen’, mwaka huo alikiri kuwa: “Jamani Diamond ni mtu wangu ‘so’ wasichana wa mjini kaeni mbali naye.” Alipoulizwa Diamond anayetamba na ngoma yake mpya ya Moyo Wangu, akacheka sana, akakata simu na penzi lao lilisambaratika 2010.WOLPERMwaka huo huo, wakati kukiwa na ‘rumansi’ kuwa Diamond anapeana ‘tafu’ na staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Masawe Wolper, ghafla Rehema akafungua kinywa: “Wolper niachie Diamond wangu.” Baada ya kauli hiyo, Diamond na Wolper wakafyata mkia na hawakusikika tena.

PENDO
Mwaka jana, pia Diamond aliripotiwa akidaiwa ‘kutoka’ na staa wa Maisha Plus Season II, Upendo Mushi ‘Pendo’. Diamond alipotafutwa ili kupata mzani wa habari hiyo, akaruka futi mia na ukawa mwisho wa penzi lao.NATASHA VS WEMAMwanzoni mwa mwaka huu, gazeti tumbo moja na hili, Amani lilitonywa kuwepo kwa mrembo aliyetajwa jina moja la Natasha ambaye alidaiwa ‘kumfia’ Diamond. Hata hivyo, wakati mawasiliano kati ya Diamond na Natasha yakiendelea, Wema ambaye ndiye alikuwa amejitwalia penzi la msanii huyo, akaenda mstari wa mbele na kuharibu kila kitu.Wema na Diamond ni wapenzi ‘hoti’ kwa sasa ambao wameahidi kufunga ndoa ‘soon’.

RECEPTION PARTY OF MR. SALEH BIBOZE && BI REHEMA MOHAMED IN THE CITY OF DAR-ES-SALAAM

Bibi na Bwana harusi wakipiga picha ya pamoja na r&mrs Kasongo
Bi zaytun Biboze, Malilo, Zulfa na Bibi na Bwana harusi.
Maharusi na wana kamati wakipiga ya pamoja
Bibi harusi akiwapa keki wazazi wa bwana harusi
Bwana harusi akipeleka keki kwa wazazi wa bibi harusi
Bi zaytun Biboze msimamizi akiwa na Malilo na zulfa.
King and Queen
Bwana harusi akimlisha keki mkewe.
Bibi harusi akikata keki
Kaka wa bwana harusi Mr. Mussa Biboze akitoa speech
Cheers
Mama wa bwana harusi akitoa salamu
Mama wa bwana harusi akitoa salamu.
Kaka wa bwana harusi Jax Harambe na mkewe Bi Sabrinawakitoa salamu
Kaka wa bwana harusi Mr.Mussa Biboze na mkewe Bi Banana wakitoa salamu
Shemeji wa bwana harusi Mr. Almasi akitoa salamu
Queen and King
Maharusi na wanakamati
Maharusi wakifungua mziki - Blues time.
i told you baby..we gone make it.
Bwana harusi akitoa keki kwa upande wa bibi harusi
Bibi harusi akitoa keki kwa upande wa bwana harusi
Uncle wa bwana harusi Mr. Abdallah kohoye akitoa pongezi kwa biharusi
Mwana muziki wa bendi ya Njenje Nyota waziri akitoa burudani
Bwana harusi akitoa speech
Bibi harusi harusi akitoa speech


                                               MORE PICTURE IN SLIDE SHOW

kWA NIABA YA WANAFAMILIA WOTE WA HARAMBE/BIBOZE FAMILY TUNA PENDA KUTOA SHUKRANI ZETU ZA DHATI KWA WATU WOTE WALIOSHIRIKI KTK KUFANIKISHA HARUSI HII (WANA KAMATI,NDUGU, MARAFIKI NA WAGENI WOTE WAALIKWA) MUNGU AWAJALIE MOYO HUO WA UPENDO NA USHIRIKIANO AMIN.

ALIYE KUWA MKE WA MAREHE JAMES DANDU AFUNGA NDOA YA KIPEKEENA MTASHA


 ‘Waifu’ wa aliyekuwa mwanamuziki mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, marehemu James Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ au ‘Cool James’, Devota Chuwa, ameolewa kwa ndoa ya kihistoria, Amani linakumegea kitu na boksi.

 Devota ambaye ameishi maisha ya ujane na upweke kwa miaka tisa tangu kifo cha mumewe mwaka 2002, amefunga ndoa hiyo na ‘mtasha’ aliyetajwa kwa jina moja la Rogers.


Tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilichukua nafasi hivi karibuni ndani ya Ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam.
 NDOA YAFUNGWA KISERIKALI
Ndoa hiyo ilifungwa kiserikali huku kukiwa na Bendera ya Tanzania ambapo mfungaji alitimba ufukweni hapo na kukamilisha tukio hilo lililofanyika sehemu tulivu na ya wazi huku kukiwa na jua kali.Devote na mumewe walikula kiapo cha kuishi pamoja katika shida na raha na baadaye walisaini kuthibitisha kiapo chao mbele ya wazazi wa pande zote, msimamizi kutoka serikalini, ndugu, jamaa na marafiki.
 WAPAMBE WATINGA NA MIAVULI
Hata hivyo, tukio hilo lilipambwa na vitu adimu tofauti na harusi nyingine kwani wapambe wa Devota ambao wengi walikuwa mamisi walitinga eneo hilo kwa staili ya kipekee wakiwa na miavuli ‘spesho’ ili kuleta utofauti wa tukio hilo na mengine ambayo yamezoeleka.Tukio la kufunga ndoa lilifuatiwa na sherehe ‘babkubwa’ iliyofanyika katika moja ya kumbi za kifahari za hoteli hiyo
 Baada ya maharusi kukata keki, watu walikula na kunywa kabla ya kuserebuka muziki wa ladha tofauti huku mipasho ikitawala.


MASTAA KIBAO NDANISherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa kibao Bongo. Baadhi yao ni mamisi Nancy Sumary, Irene Kiwia, Jacqueline Ntuyabaliwa ‘K-Lyn’, mwanamitindo Fideline Iranga na Mwamvita Makamba.
 Mtoto wa Dandu alikutana na umauti kwa ajali ya gari Agosti 28, 2002 maeneo ya Makumbusho Kijitonyama, Dar.KWA NINI HAIJATOKEA?
Kulikuwa na utofauti mkubwa wa tukio hilo na mengine yaliyozoeleka Bongo ikiwemo kufunga ndoa ufukweni badala ya ofisini ya wilaya, shughuli nzima kusimamiwa na mamisi na staili ya kipekee ya wapambe wa bibi harusi kuingia eneo la tukio kwa miavuli spesho.